Wasenegal kufanya uchaguzi wa rais Jumapili | VOA Swahili

  • | VOA Swahili
    89 views
    Takriban raia wa Senegal milioni saba wanatarajiwa kuelekea katika vituo vya kupiga kura siku ya Jumapili kwenye uchaguzi wa Rais ambao kwa mara ya kwanza haujulikani nani anaweza kupata ushindi kufuatia wiki kadhaa za ghasia na wasi wasi wa kisiasa. Yeyote atakayeibuka mshindi atakua na jukumu la kuliongoza taifa hilo ambalo lilikua kitovu cha utulivu kwa miaka mingi Afrika magharibi. #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.