Washauri wa matibabu wa KNH wajiunga na mgomo wa madaktari

  • | K24 Video
    32 views

    Huduma za afya katika hospitali ya kitaifa ya kenyatta na hospitali ya mafunzo na rufaa ya moi Eldoret zitaathiriwa zaidi kutokana na washauri wa matibabu kujiunga na mgomo wa madaktari unaoendelea. Muungano wa madaktari kmpdu unaitaka serikali kutimiza haraka machache yasiyoweza kupunguzwa na kupanga mikakati ya kutimiza matakwa yanayohitaji muda ili kuiponya sekta ya afya iliyo taabani.