Washika dau katika sekta ya bima nchini wanataka sheria ya kudhibiti sekta hiyo

  • | Citizen TV
    260 views

    Washika dau katika sekta ya bima nchini wanataka sheria ya kudhibiti sekta hiyo. Taasisi ya bima nchini inalitaka bunge la kitaifa kupitisha sheria mpya itakayodhibiti sekta hiyo na kukabiliana na matapeli wanaolaghai wakenya