30 Oct 2025 10:22 am | Citizen TV 314 views Duration: 6:50 Washikadau katika sekta ya afya na watafiti wa kiasili wanakongamana katika chuo kikuu cha Moi kwa mkutano kuhusu tiba asili. Aidha, kongamano Hilo pia linaangazia umuhimu wa upanzi wa miti ya kiasili yenye manufaa ya tiba.