Washikadau kutoka sekta mbalimbali Kisii walalamikia gharama ya juu ya maisha

  • | Citizen TV
    110 views

    Washikadau kutoka sekta mbalimbali Kisii, wamelalamikia gharama ya juu ya maisha inayozonga familia mbalimbali nchini na kuwacha wengi wakiwa na msongo wa mawazo.