Washikadau wa kaunti 5 tano za Ziwa Victoria wakutana

  • | Citizen TV
    124 views

    Washikadau mbalimbali kutoka kaunti Tano za ziwa victoria kwa ushirikiano na mashirika ya kimataifa wamekongamana mjini Kisii katika hafla ya uhamaisho wa umma kuhusu magonjwa sugu kama vile ugonjwa wa Sukari na mengineo. Mkutano huo wa aina yake ulianza hapo jana na inatarajiwa kukamilika leo.