Washikadau wa utalii waanzisha tamasha Watamu

  • | Citizen TV
    421 views

    Sekta ya utalii umekua ukiyumbayumba kwa muda mrefu maeneo ya pwani lakini washikadau wa utalii kutoka watamu kaunti ya kilifi wameanzisha tamasha ambayo itatumika kama mbinu ya kuwavutia watalii. Tamasha hiyo inawajumuisha wasanii kutoka humu nchini na barani Afrika ili kuboresha zaidi utalii maeneo ya pwani.