Washikadau wataka mikakati ya ufadhili wa soka Ughaibuni kuwekwa

  • | Citizen TV
    272 views

    Huku vijana kutoka nchini wakizidi kujipatia ufadhili wa masomo ya soka nje ya nchini, wito umetolewa wa kuweka mikakati kabambe kuhakikisha wanapata mafunzo ya kutosha kwenye mataifa hayo.