Washikadau wataka serikali ipunguze ushuru wa utalii

  • | Citizen TV
    88 views

    Baadhi ya wadau wa sekta ya utalii mjini Malindi katika Kaunti ya kilifi wanalalamikia kusambaratika kwa sekta ya utalii eneo hilo baada ya hoteli nyingi kufungwa