- 196 viewsWashikadau walioshiriki chaguzi ndogo zilizofanyika majuzi sasa wanataka wahuni waliovuruga amani katika chaguzi hizo kukamatwa na kufunguliwa mashtaka. Wakizungumza katika hafla ya kurejelea chaguzi hizo, wagombea kadhaa walisimulia wanavyoendelea kuhangaishwa na kutishiwa maisha hata baada ya uchaguzi huo