Washindi 7 wa Shabiki Supa Jackpot bonus watuzwa leo

  • | Citizen TV
    325 views

    Shabiki Supajackpot Bonus ina washindi saba kwenye ubashiri wa juma hili. Pauline Wawira Njagi kutoka Mlolongo amejishindia shilingi 359,160 kwa kubashiri mechi 13 kati ya 15 kwa usahihi huku hao wengine sita wakishinda shilingi 61,000 kila mmoja kwa kubashiri mechi 12 kwa usahihi.