Washindi wa Shabiki.com watuzwa Ksh.2.5M mwezi wa Novemba

  • | Citizen TV
    264 views

    Shabiki.com imewazawadia washindi wa mwezi novemba shilingi milioni 2.5, daniel njungi kutoka langalanga kaunti ya Nakuru aliyepokezwa hundi ya shilingi 300,000 katika shindano la Major Leagues Jackpot akisema kwamba maisha yake sasa yamebadilika na familia yake itanufaika kwa hisani ya Shabiki.com