Washindi wanne wa Shabiki Midweek Jackpot wametuzwa

  • | Citizen TV
    482 views

    Washindi wanne wa bonasi ya Shabiki Midweek Jackpot wametuzwa leo, kwenye shindano hilo la kitita cha shilingi milioni 1,164,021 ambacho hakijapata mshindi kufikia sasa. Kelvin Marigu kutoka kaunti ya Embu nusra aponyoke na kitita hicho ila alibwagwa na mechi moja kwani alibashiri mech 12 kati ya 13 sahihi na ameapa kuendelea hadi pale atakapotia mfukoni zawadi ya shilingi 1,164,021. Midweek Jackpot na Supa Jackpot kwenye Shabaki.Com inaendelea.