Washindi wawili kufuzu mashindano ya dunia Marekani

  • | Citizen TV
    112 views

    Vikosi vya timu za Kenya za mchezo wa voliboli ya walemavu vimeendeleza maandalizi yake tayari kwa mchuano wa afrika utakaoanza rasmi ijumaa uwanjani kasarani hapa Nairobi.