- 330 views- - - -Msimu muhimu wa ununuzi wa bidhaa za siku kuu ambao kwa kawaida hapa Marekani huanza wikiendi baada ya siku kuu maarufu ya kumshukuru mungu yaani Thanksgiving, kuelekea krismasi, na hatimaye mwaka mpya. Hata hivyo mambo huenda yakawa tofauti kidogo kutokana na kuwa wanunuzi wengi wa bidhaa huenda wanapitia hali ngumu ya kupanda kwa gharama ya maisha kutokana na masuala kama vile janga la virusi vya corona pamoja na vita vya Ukraine vinavyoendelea, miongoni mwa mambo mengine.#voaswahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
WASHINGTON BEREAU- MFUMUKO WA BEI UNAVYOATHIRI BIASHARA NDOGO NDOGO MAREKANI
- 29 Mar 2024 - The lifeless body of a middle-aged man was on Friday discovered inside an electronics store in Mwingi, Kitui County with CCTV surveillance revealing that he fell from the establishment's roof while breaking into the premises.
- 29 Mar 2024 - US President Joe Biden was joined in New York on Thursday by his predecessors Barack Obama and Bill Clinton at a blockbuster fundraising event where he collected $25 million (approx. Ksh.3.3 billion) to go towards his re-election bid.
- 29 Mar 2024 - She revealed plans to graduate in 2025 and apply to the medical sector in the Army.
- 29 Mar 2024 - Gikomba traders get temporary relief as 700 containers to be released
- 29 Mar 2024 - Africa has 524,755,030 people aged 15-35 years old.
- 29 Mar 2024 - Gachagua, unlike Ruto, needs a strong backup plan. It is, politically, a necessary survival evil. Otherwise, deputy presidents are vulnerable, exposed and somehow dispensable.
- 29 Mar 2024 - The debt restructuring negotiations have been held back by differences between China and Western creditors.
- 29 Mar 2024 - ICJ chair Protas Saende said Kenyans who rely on public health facilities are suffering.
- 29 Mar 2024 - As the doctor’s strike enters day 15, there are no signs of the continued industrial action being resolved any time soon as concerns continue to be raised on the plight of patients the country’s state of health system.
- 29 Mar 2024 - Why NTSA has suspended licenses for two PSV Saccos