WASHINGTON BUREAU - AJALI YA TIGER WOOD NI TISHIO SI TU KWA AFYA BALI MSTAKABALI WA TAALUMA YAKE.

  • | VOA Swahili
    Wiki hii ndani ya Washingon Bureau, mwandishi wetu Sunday Shomari anatuleteta habari mbalimbali ikiwa ni pamoja na ajali mbaya ya nguli mcheza Golf duniani Tiger Wood ambayo yaweza kukatisha taaluma yake siku za usoni. #WB #WASHINGTONBUREAU