- 354 viewsSeneta Mdemocrat Raphael Warnock amemshinda mpinzani wake Mrepublican Herschel Walker katika uchaguzi wa marudio katika jimbo la Georgia Jumanne, na kuwahakikishia wademocrat wingi katika baraza la Seneti kwa kipindi kilichobaki cha muhula wa Rais Joe Biden, na kwa hivyo kusaidia kubainisha ushindi ambao si mkubwa wa Republican katikati ya awamu ambao wameupata katika Baraza la Wawakilishi #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
WASHINGTON BUREAU - BIDEN AJIPATIA USHINDI KATIKA BUNGE LA SENETI MAREKANI
- 29 Mar 2024 - US President Joe Biden was joined in New York on Thursday by his predecessors Barack Obama and Bill Clinton at a blockbuster fundraising event where he collected $25 million (approx. Ksh.3.3 billion) to go towards his re-election bid.
- 29 Mar 2024 - The debt restructuring negotiations have been held back by differences between China and Western creditors.
- 29 Mar 2024 - As the doctor’s strike enters day 15, there are no signs of the continued industrial action being resolved any time soon as concerns continue to be raised on the plight of patients the country’s state of health system.
- 29 Mar 2024 - Police have arrested five suspects believed to be part of a gang that broke into a businessman's vehicle in Nairobi's South C area and robbed him of close to Ksh.3 million a fortnight ago.
- 29 Mar 2024 - Reading Time: 3 minutes This weekend marks the return of local football action with the FKF Cup set to resume, featuring the round of […]
- 29 Mar 2024 - Police confirm an early morning terror attack has claimed six lives and injured one.
- 29 Mar 2024 - The six were killed while hawking utensils in Dhobley, Somalia.
- 29 Mar 2024 - A leading member of his uMkhonto we Sizwe (MK) party alleged that he had been targeted.
- 29 Mar 2024 - The ban follows claims of fake farm inputs in the market.
- 29 Mar 2024 - The companies were also given directives on the next action.