WASHINGTON BUREAU: Kimbunga Ian chaleta uharibifu mkubwa Florida

  • | VOA Swahili
    871 views
    Kimbunga Ian kimesababisha hasara kubwa katika maeneo ya kusini magharibi ya jimbo la Florida na kusemekana ni moja wapo ya vimbunge venye nguvu zaidi kusababisha hasara Marekani. Gavana wa jimbo hilo Ron Desantis anasema kimbunga kimasababisha mafuriko makubwa katika miji ya pwani na uharibifu wa mifumo ya umeme na mawasiliano, ambapo kuna watu zaidi ya milioni moja hawana umeme na hali hiyo itazidi kuwa mbaya katika siku zinazokuja.