WASHINGTON BUREAU - MCHAKATO WA KUMPATA SPIKA MAREKANI BADO KITENDAWILI

  • | VOA Swahili
    381 views
    wiki hii tunaendelea na mchakato wa kutafuta spika mpya wa baraza la wawakilishi la Marekani. Wajumbe wa Repablikan kwenye baraza hilo wamekutana Alhamisi kujaribu kusuluhisha migawanyiko inayowazuia kumchagua Steve Scalise kuwa spika mpya wa baraza hilo ambalo limebaki bila kiongozi kwa zaidi ya wiki moja sasa. #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.