WASHINGTON BUREAU - UKRAINE YAKABILIWA NA HALI MBAYA, RAIS ZELENSKYY AZURU MAREKANI KUTAKA UFADHILI

  • | VOA Swahili
    1,875 views
    Wiki hii rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskyy na mwenzake wa Marekani Joe Biden wiki hii walijaribu kusihi wabunge wa Marekani kuidhinisha msaada wa dola bilioni 61 kwa Ukraine, wakati taifa hilo likiendelea kukabiliana na uvamizi wa Russia. Bila kuwepo kwa msaada huo, viongozi hao wamesema kwamba hali huenda iwaka ngumu kwa Ukraine wakati huu wa msimu wa baridi #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.