WASHINGTON BUREAU - WABUNGE MAREKANI WATAKA SERIKALI KUDHIBITI MITANDAO YA KIJAMII

  • | VOA Swahili
    Wiki hii ndani ya Washington Bureau Sunday Shomari anatuletea habari mbalimbali zilizojiri juma hili nchini marekani ikiwa ni pamoja na jitahada za wabunge nchini humo kutaka mitandao ya kijamii kuzibitiwa.