WASHINGTON BUREAU - WAMAREKANI WENYE ASILI YA KIARABU KUTOMPIGIA BIDEN KURA KUFUATIA MZOZO WA GAZA

  • | VOA Swahili
    579 views
    Wiki hii kwenye Washington Bureau tunaangazia, Vita kati ya Israel na Hamas zimechochea mivutano kati ya Wayahudi na Waislamu kote duniani, ikiwemo eneo la Detroit, ambalo ni makazi ya idadi kubwa sana wamarekani wenye asili ya kiarabu hapa nchini Marekani. Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.