Washukiwa 14 wa wizi wa kimabavu wakamatwa Machakos

  • | Citizen TV
    2,280 views

    Washukiwa 14 wa wizi wa kimabavu walikamatwa katika operesheni kali inayoendelezwa na maafisa wa polisi mjini Machakos. Polisi walinasa silaha butu wanazotumia washukiwa hao kuwahangaisha wakenya kabla ya kuwaibia na wakati mwingine kuwaua. Kama anavyoarifu Hassan Mugambi, maafisa hao pia walinasa zaidi ya simu 120 za rununu zilizoibwa katika kipindi cha wiki kadhaa zilizopita