Washukiwa 3 wafikishwa mahakamani Nairobi kwa wizi wa mitandaoni

  • | Citizen TV
    1,671 views

    Washukiwa watatu waliouhusishwa na ulaghai wa kidijitali watasalia gerezani kwa siku kumi uchunguzi ukiendela na pia kutoa muda wa kukamatwa kwa washukiwa wengine 18 wanaohusishwa na sakata hiyo. Kama anavyotuarifu wetu, Odee Francis, washukiwa hao watatu wanatuhumiwa kwa kuingia katika akaunti za benki ya mlalamishi na kuhamisha zaidi ya milioni 3.