Washukiwa 4 wakamatwa wakisafirisha nyama ya punda Kirinyaga

  • | Citizen TV
    1,021 views

    Washukiwa wanne wamekamatwa kwa tuhuma za kuchinja na kuuza nyama ya punda katika kijiji cha Kiminji Mwea kaunti ya Kirinyaga. Mmoja wa washukiwa hao amekiri kuuza nyama hiyo hadi kaunti ya nairobi kwa shilingi 10,000.