Washukiwa 7 wa ubakaji wafikishwa mahakamani Bomet

  • | Citizen TV
    2,267 views

    Washukiwa saba, walionaswa kwenye kanda ya video wakimnajisi msichana mmoja huko Bomet, watasalia rumande katika Kituo cha Polisi cha Chebunyo kwa siku 14 huku uchunguzi ukiendelea.