Washukiwa 9 wa mkasa wa Solai wana kesi ya kujibu

  • | Citizen TV
    422 views

    Washukiwa tisa walioshtakiwa kwenye kesi ya mkasa wa bwawa la Solai lililosababisha vifo vya watu 48 miaka minne iliyopita wana kesi ya kujibu.