25 Feb 2026 1:15 pm | Citizen TV 1,069 views Duration: 3:16 Kamati ya usalama kaunti ya Samburu imefanikiwa kuwanasa washukiwa kumi wa wizi wa kimabavu katika mji wa Maralal. Washukiwa hao wanakisiwa kuwa ndio wamekuwa wakiwahangaisha wafanyabiashara mjini Maralal na viunga vyake.