Washukiwa sita wa mauaji ya Ojwang wakanusha mashataka

  • | Citizen TV
    597 views

    Washukiwa sita wa mauji ya mwalimu Albert Ojwang wamekanusha mashtaka dhidi yao . washukiwa hao akiwemo OCS wa kituo cha central Samson Talaam, wanaitaka mahakama kuwaachilia kwa dhamana