Skip to main content
Skip to main content

Washukiwa sita wa ulanguzi wa mihadarati wa Iran wafikishwa mahakamani Shanzu, kesi yaahirishwa

  • | Citizen TV
    856 views
    Duration: 2:17
    Washukiwa sita wa ulanguzi wa mihadarati wamefikishwa katika mahakama ya Shanzu kaunti ya Mombasa hii leo. Sita hawa ambao ni raia wa Iran walipatikana na sherena ya mihadarani yenye gharama ya shilingi bilioni nane kwenye Bahari Hindi. Hata hivyo kesi hii imeahirishwa hadi hapo kesho baada ya upande wa mashtaka kutilia shaka stakabadhi za mkalimani kwenye kesi hii