Washukiwa tisa wa genge la Jobless wakamatwa na kufikishwa mahakamani katika kaunti ya Busia

  • | Citizen TV
    9 views

    Idara ya Usalama katika katika kaunti ya Busia imefichua kuwa watu tisa ambao wanashukiwa kuwa wanachama wa kundi haramu la Jobless mjini Busia wamekamatwa na kufikishwa mahakamani mjini busia huku maafisa wa polisi wakiendeleza oparesheni ya kukabiliana na kundi hilo.