Washukiwa wa mauaji ya Lucy Njambi Nyakio wahukumiwa miaka 30 gerezani

  • | KBC Video
    198 views

    Aliyekuwa mwakilishi wadi wa eneo la Riruta Samuel Ndungu Njoroge na watu wengine wawili wamehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela baada ya kupatikana na hatia ya kumuua mpenzi wake Lucy Njambi Nyakio. Uamuzi huo ulitolewa na jaji Prof Joel Ngugi wa mahakama ya Kiambu na haukupokelewa vyema na wana harakati wa haki za binadamu. Wanaharakati hao walisababisha kizaazaa katika mahakama hiyo, wakitaja adhabu hiyo kuwa hafifu ambayo haitakomesha visa vya mauaji ya wanawake.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News