Washukiwa wa mauaji ya polisi Siaya wafumaniwa

  • | KBC Video
    594 views

    Kitengo cha maafisa wa polisi wa kupambana na ugaidi sasa kinafuatilia taarifa muhimu kubaini iwapo washukiwa waliohusika mauaji ya afisa wa polisi kaunti ya Siaya Jumatatu wanahusishwa na kikundi chochote cha ugaidi au shughuli zozote za kigaidi. Washukiwa wawili walipigwa risasi hii leo asubuhi katika kijiji cha Hawanga kaunti ya Siaya huku mshukiwa wa tatu akikamatwa na polisi kukamilisha msako wa siku tatu. Bunduki mbili za polisi zilizoibwa kutoka kwa maafisa hao pia zilipatikana. Achola Simon na taarifa hiyo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive