Washukiwa wa ubakaji wakamatwa Uasin Gishu

  • | TV 47
    Polisi katika kaunti ya Uasin Gishu wamewakamata wanaume watano wa umri wa kati ya miaka 40 na 50 wakishukiwa kumnajisi na kumuambukiza magonjwa ya zinaa mtoto wa miaka 13 mwenye tatizo la akili. #UpeoWaTV47