Washukiwa wa wizi wa mifugo watoweka na Bunduki mbili za Polisi Sikhendu

  • | West TV
    158 views
    Wakazi wa Sikhendu eneo bunge la Kiminini wamekumbwa na hofu baada ya washukiwa wa wizi wa kimabavu waliokuwa wanazuiliwa katika kituo cha Polisi cha Sikhendu kuiba Bunduki iliyokuwa risasi kutoka kituo hicho na kisha kutoroka