Washukiwa wasaba wa uhalifu wakamatwa Nakuru huku silaha kadhaa zikipatikana na polisi

  • | Citizen TV
    1,856 views

    Maafisa wa usalama huko Nakuru wamewakamata watu Saba wanaoaminika kuwa majambazi kutoka magenge ya uhalifu na kupata silaha kadhaa. Msako na oparesheni ya kusaka magenge hayo ya 'confirm',wa TZ na Mauki zikiendelea kufuatia ungezeko la visa vya uhalifu katika mitaa kadhaa mjini humo kwa wiki mbili Sasa. Wahalifu hao wakilenga maduka ya kibiashara na wapita njia katika maeneo hayo.