Washukiwa watatu wa ulanguzi wa bangi wakamatwa kaunti ya Tana River

  • | Citizen TV
    162 views

    Walanguzi watatu wa mihadarati wamekamatwa na maafisa wa usalama na wale wa mamlaka ya kupambana na dawa za kulevya NACADA katika kijiji cha Mororo kaunti ya Tana River kwenye oparesheni ya kukomesha uuzaji wa dawa hizo.