Washukiwa watatu wakamatwa wakiwa na bangi yenye thamani ya shilingi 1.OOO,0OO Kiambu

  • | Citizen TV
    646 views

    Washukiwa watatu wamekamatwa wakiwa na bangi yenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni moja iliyokuwa imepandwa katika kampuni moja ya kibinafsi kwenye mpaka wa maeneobunge ya Gatundu kaskazini na Thika kaunti ya kiambu.