Washukiwa watatu waliohusishwa na ulaghai wa dhahabu wafikishwa kortini

  • | Citizen TV
    248 views

    Washukiwa watatu waliohusishwa na biashara ya ulaghai wa sakata ya dhahabu iliyopelekea raia wa Afrika Kusini Ralph Mayaka kupoteza zaidi ya shilingi milioni 18 wanatarajiwa kufikishwa mahakamani hii leo. Polisi pia bado wanawatafuta washukiwa wengine watatu wa sakata hiyo