Washukiwa watatu waliomng'oa macho mtoto Sagini warejea mahakamani

  • | Citizen TV
    843 views

    Washukiwa watatu waliokamatwa kuhusiana na kesi ya kung'olewa macho kwa Mtoto Junior Sagini wanarejea tena mahakamani. Watatu hao hii leo wanatarajiwa kujitetea mahakamani mbele ya hakimu Mkuu Mkaazi Christine Ogweno.