Washukiwa watatu waliomtesa Albert Ojwang' korokoroni wakamatwa

  • | Citizen TV
    21,792 views

    Mauaji Ya Albert Ojwang Washukiwa Watatu Zaidi Wamekamatwa Hapa Nairobi Washukiwa Walikuwa Mahabusu Kwenye Seli Ya Central Waliokamatwa: Gin Abwao, Collins Ireri, Brian Mwaniki Familia Yake Inaendelea Kushinikiza Haki Kwa Jamaa Yao