Washukiwa watatu walioteketeza wazee Kisii wafungwa miaka 40 korokoroni

  • | Citizen TV
    4,106 views

    Makakama ya Kisii imewahukumu watu watatu waliopatikana na hatia ya kuwauwa kinyama kina mama wanne katika eneo la Marani kifungo cha miaka 40 jela kila mmoja. Aidha mahakama hiyo pia imemhukumu msshtakiwa mwingine kifungo cha miaka 15 jela. wanne hao walipatikana na hatia ya mauaji ya wazee hao waliodaiwa kuwa wachawi.