18 Feb 2026 7:53 pm | Citizen TV 609 views Duration: 59s Washukiwa wawili kwenye kesi ya ulaghai wa ajira za tume ya kuwaajiri walimu nchini TSC, wameachiliwa kwa dhamana ya shilingi millioni 3 au shilingi milioni 1.5 pesa taslimu