22 Aug 2025 1:49 pm | Citizen TV 944 views Duration: 1:51 Maafisa wa DCI kaunti ya Nandi wakishirikiana na maafisa wa DCI kutoka Kisumu wamenasa watu wawili na magari mawili yanaoaminika kutumiwa na magenge kutekeleza wizi.