Washukiwa wawili wa wizi wamekamatwa Nandi

  • | Citizen TV
    526 views

    Maafisa wa DCI Kaunti ya Nandi wakishirikiana na maafisa wa DCI Kutoka Kisumu wamenasa watu wawili na magari mawili yanaoaminika kutumiwa Na magenge kutekeleza wizi