22 Aug 2025 10:27 am | Citizen TV 2,267 views Duration: 1:44 Maafisa wa DCI Kaunti ya Nandi wakishirikiana na maafisa wa DCI Kutoka Kisumu wamenasa watu wawili na magari mawili yanaoaminika kutumiwa Na magenge kutekeleza wizi