Washukiwa wawili wa wizi wateketezwa Nyamira

  • | Citizen TV
    1,270 views

    Wakaazi wenye ghadhabu katika kijiji cha Nyankongo, kaunti ya Nyamira, wamewauwa kwa kuwateketeza wanaume wawili kwa madai ya kuhusika na wizi kijijini humo.