Washukiwa wote 6 kwenye mauaji ya mwanablogu Albert Ojwang wamekana mashtaka

  • | Citizen TV
    2,204 views

    Washukiwa wote 6 kwenye mauaji ya mwanablogu Albert Ojwang wamekana mashtaka ya Mauaji hayo. Jaji wa Mahakama ya Kibra Diana Kavedza sasa ataamua iwapo washukiwa hao wataachiliwa kwa dhamana au la, wakati kesi hiyo itasikizwa tena.