Jamii yaraiwa kuhakikisha wasichana wanasoma eneo la Busia

  • | Citizen TV
    117 views

    Wito umetolewa kwa jamii kuhakikisha kuwa wasichana wanapata elimu zikiwemo juhudi za kuwasaidia wale ambao walipata mimba za utotoni kurejea shuleni. Ni ushauri uliotolewa wakati wa mkutano wa wadau wakijumuisha maafisa wa utawala na miungano mbalimbali mjini nambale.