Wasichana Busia washauriwa kudumisha uadilifu kuzuia mimba za mapema

  • | KBC Video
    10 views

    Visa vya ndoa za mapema na uraibu wa mihadarati vimeongezeka pakubwa katika kaunti ya Biusia huku wadau wakitoa wito wa kuongezwa kwa juhudi za ushauri kwa wasichana.Kupitia michezo inayoandaliwa na wadau katika kaunti hiyo, wasichana hupokea ushauri nasaha na jinsi ya kujiepusha na maovu katika jamii ukiwemo uraibu wa mihadarati. Kilabu chaChakol Queens kimewaleta pamoja wasichana 30 kutoka shule za upili na vyuo ambao hushiriki kwenye mashindano mbalimbali ikiwemo kwenye ligi ya taifa ya kadanda ya Super League.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive